"Argument" yako bila ushahidi inakuwa dhaifu.
Naomba pitia post namba 56 nimejibu jihad ni nini.Huko juu nimeona sehem inazungumziwa jihad! Na umejibu 'vizuri' kuwa kwa mmoja ni 'ugaid' na mwingine ni 'kuupigania' uhuru
Ikiwa jihad ina taratibu zake na ili iitwe 'jihad' ni lazma taratibu hizo zifuatwe.,
1.Napenda unijuze, uislam umeamrisha kuwa ktk jihad haipaswi kumuua muislam mwenzetu ikiwa hatudhuru, na pia hatupashwi kuharibu uoto i.e miti. Je, 'jihad' hii inayoendelea inazingatia hayo?
2. Ni yupi Amir wa 'jihad' hii inayoendelea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata humu kuna "vijiwe" vingi tu.Vijiwe vya kahawa vinatofautiana vipo vya Kisiju,kuna vya Posta, vipo vya uwanja wa fisi na pia vya Mikocheni...fafanua
We wa bara au visiwani?Kote. Msimu wa baridi Canada nnakuwa Tanzania na likiwa joto kule nnakuwa huko.
UISLAM = UJINGA = UGAIDIMambo ya nchi za watu maybe i am brainwashed media maybe kuna wakristo wanajilipua na kuua mamia ya watu wasio na hatia ila media zinaniaminisha kua ni waislamu boko haraka waliteka wasichana 300 na kuwaua wengine kuwasilimisha maybe ni wakrsito pia just media zinani brain wash achana na ya juzi kenya
Acha niongelee mambo ya hapa nchini ishu ya mbagala ubishani wa watoto wawili wadogo kuhusu msahafu kumgeuza mtu chura ukiukojolea baada ya yule mtoto kuukojolea watu wazima wakaamka na hasira kali kuanza kuchoma makanisa sidhan kama biblia ingekojolewa tungeinuka kuchoma misikiti kwa sababu sisi tunahubiri amani
Hilo pia hao watoto sikuwaona kwa macho labda media ziliwapaka paka
Niloliona kwa macho kibiti high school waislamu walichoma moto shule baada ya vijana wachache kwenda kutumia vyombo vyao vya kulia chakula kuwekea nyama wanadai ya nguruwe na ushahidi kukosekana wa kuwafukuza hao vijana shule
Waislamu wakaamua kuchoma moto shule?
Je ni sahihi kwa kosa la vijana wachache ambao ushahidi wake si rahisi kupatikana kuamua kuchoma shule??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa Mkuu,Vipi Maisha ya kutafuta huko kwa tunaotaka kuja kutafuta,vipi kuna uwezekano wa kutusua kifedha? Kazi za aina gani kwa watu wasio na degree(DEIWAKA) ambazo zinalipa kwa huko na wanalipa Tsh ngapi per 1hr,week ,month?
Si wa bara wala visiwani, wa Pwani.
Ushahidi?
Shukrani ngoja nipitie nifanye michakato ya kuingia CANADA.Kazi nyingi sana na fursa za kusoma huku unafanya kazi pia zipo.
Pitia hapa: Immigrate through Express Entry - Canada.ca
Karibu.
Sawa sawaHuyo anataka ajibiwe kama alivyoaminishwa,anaona anajibiwa tofauti ndio maana anaonekana kama vile hakubaliani na jibu alilopewa.
Kula pamoja, kuongea pamoja, kusafiri pamoja.Nitajie vitu vitatu vikubwa ambavyo unavipenda kuvifanya maishani mwako, with relation na ndugu, mpenz au marafik zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais yeyote ataweza kuongoza vizuri sana ikiwa sheria za nchi zitakuwa juu ya watu wote pamoja na Rais.Ningependa kujua maoni/mtazamo wako,unafikiri kwa wakati huu tulionao(baada tu ya mh rais Magufuli kumaliza muda wake,iwe 2020 ama 2025)unafikiri ni rais wa namna gani au wa sifa zipi atafaa kuiongoza Tanzania?
Kiislam mwanamme hapaswi kuchukua ruksa ya mkewe akitaka kuongeza mke.Kwa mujibu WA dini yako mwanaume anaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja. Je endapo mumeo akikwambia anataka kuoa mke mwingine, uta mruhusu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Any proof beyond reasonable doubts?...au hizi ni story za karumenge, essopo.. za kwenye vijiwe vya kahawa?
Panapofuka moshi panaficha moto.Mambo ya nchi za watu maybe i am brainwashed media maybe kuna wakristo wanajilipua na kuua mamia ya watu wasio na hatia ila media zinaniaminisha kua ni waislamu boko haraka waliteka wasichana 300 na kuwaua wengine kuwasilimisha maybe ni wakrsito pia just media zinani brain wash achana na ya juzi kenya
Acha niongelee mambo ya hapa nchini ishu ya mbagala ubishani wa watoto wawili wadogo kuhusu msahafu kumgeuza mtu chura ukiukojolea baada ya yule mtoto kuukojolea watu wazima wakaamka na hasira kali kuanza kuchoma makanisa sidhan kama biblia ingekojolewa tungeinuka kuchoma misikiti kwa sababu sisi tunahubiri amani
Hilo pia hao watoto sikuwaona kwa macho labda media ziliwapaka paka
Niloliona kwa macho kibiti high school waislamu walichoma moto shule baada ya vijana wachache kwenda kutumia vyombo vyao vya kulia chakula kuwekea nyama wanadai ya nguruwe na ushahidi kukosekana wa kuwafukuza hao vijana shule
Waislamu wakaamua kuchoma moto shule?
Je ni sahihi kwa kosa la vijana wachache ambao ushahidi wake si rahisi kupatikana kuamua kuchoma shule??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Soma post namba 104 fata na link niliyoiweka kwa ushahidi.
Link haina ushahidi zaidi tu ya BAKWATA kumtaka Waziri awajibike kwa kuwa 70% ya watoto wa kiislamu walifail somo la dini.Soma post namba 104 fata na link niliyoiweka kwa ushahidi.
Jiji ninaloishi huko (Calgary) lina miezi saba ya hali ya hewa nzuri isiyo na baridi kali sana, mitatu kati ya hiyo ni joto (summer time) ingawa siyo kali sana kama la Dar. Pia kuna wakati hata wa baridi huja upepo wa joto (Chinook) ambao huleta ahueni fulani. Miezi ya baridi sana ni November mpaka March.Kipindi cha joto Canada si sana sana wiki ya mwisho ya July tu ?
Sasa unaenda kukaa wiki moja halafu unarudi ?
Sent using Jamii Forums mobile app