Kwa sababu ndivyo media inavyokuaminisha na wewe bila kufikiri unakubali tu, hata ukweli unapodhihiri wewe kwa kuwa umeshajazwa ujinga (brain washed) wewe huuamini tena wewe upo kwenye ujinga uliojazwa nao.
Mfano hai. USA imeishambulia Iraq na kuuwa zaidi ya watu million mbili, watoto wadogo pekee zaidi ya million moja kwa kisingizio kuwa kuna silaha za maangamizi. Ulikuwa ni uongo tu. Hao siyo magaidi? Gaidi atakuwa Muiraq aliyeuliwa watoto zake anapojitetea! Au sivyo hivyo?
Ndiyo maana nnawaambia kwanini hamuusomi Uislam bila hiyana? Soma: QuranIndex.Net
Unaushahidi gani kuwa walikuwa wanapunguziwa point?? na kama una ushahidi mliwahi kwenda mahakamani ??Hilo ni kweli kabisa. Ilifikia mpaka Waislam kupunguziwa points zao wakati Ndalichako alipokuwa mkuu wa mitihani. Waislam mpaka wakaingia mitaani kuandamana mpaka Ndalichako akaachia ngazi.
Magufuli alipoingia madarakani akatuzaba Waislam kofi la kikelb kwa kumrudisha wizara hiyohiyo na kumfanya Ndalichako awe waziri wa elimu. Hatari.
Huyo anataka ajibiwe kama alivyoaminishwa,anaona anajibiwa tofauti ndio maana anaonekana kama vile hakubaliani na jibu alilopewa.Sasa kaka si ameahakujibu pale juu. Mbona unarudisha mambo nyuma? Amesema uislam haufundishi mtu kuwa gaidi na ili kuekewa zaidi akakupa nyuzi ya kuifuata ili upate ufunuo zaidi. Sasa tena unarudisha kule kule. Ohooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Madame1) Heshima kubwa ya uzee anayo, angekuwa Muislam ningemuita Sheikh Nyerere, Sheikh kwa maana ya uzee wake.
2) Ningemshauri afanye flat tax rate ya 10% across.
3) Tanzania hakuna "wapinzani" kuna wapingaji, ndicho kinachowapa taabu hicho.
4) Al shabab kwa maana ya ugaidi, ntalaani vikali sana.
5) Siwafahamu hao ndugu zenu waliokimbilia Msumbiji na sifahamu hizo "hatua walizochukuliwa".
Nimelijibu swali kama hilo post namba 31 na nimeweka link.Unaushahidi gani kuwa walikuwa wanapunguziwa point?? na kama una ushahidi mliwahi kwenda mahakamani ??
Kipindi cha joto Canada si sana sana wiki ya mwisho ya July tu ?Kote. Msimu wa baridi Canada nnakuwa Tanzania na likiwa joto kule nnakuwa huko.
Je unafahamiana na Mzee Mohamed Said huyu wa humu JF, AhsanteKwetu Kisiju, wazee walikuwa na mashamba hapo jirani ya Kisiju, Shungubweni - Mkuranga, ndipo ninapoishi sasa, nimezaliwa na kusoma shule za awali Dar Es Salaam.
Kwetu Kisiju, wazee walikuwa na mashamba hapo jirani ya Kisiju, Shungubweni - Mkuranga, ndipo ninapoishi sasa, nimezaliwa na kusoma shule za awali Dar Es Salaam.
Hapo namba 3 umenichanganya.1) Heshima kubwa ya uzee anayo, angekuwa Muislam ningemuita Sheikh Nyerere, Sheikh kwa maana ya uzee wake. Kwa Tanzania nikimuita Sheikh sintoeleweka.
2) Ningemshauri afanye flat tax rate ya 10% across.
3) Tanzania hakuna "wapinzani" kuna wapingaji, ndicho kinachowapa taabu hicho.
4) Al shabab kwa maana ya ugaidi, ntalaani vikali sana.
5) Siwafahamu hao ndugu zenu waliokimbilia Msumbiji na sifahamu hizo "hatua walizochukuliwa".
Nimelijibu swali kamanhilo oost namba 31 na nimeweka link.
HahahaSasa huo upunguani. Nimekwepa nini na nimekujibu kwa muono wangu? Au kuna majibu ulishayapanga ujibiwe? Si ungenambia tu, swali hili nataka jibu hili.
Sharia haimkatazi mtu kupata elimu yeyote ile. Nadhani hafahamu kuwa hakuna dini iliyosisitiza kusoma kama Uislam. Aya ya kwanza ya Qur'an kushushwa ni "Soma".
Hivi " madrasa" unaoisikia unafikiri nini zaidi? Unajuwa kuwa neno "madarasa" la Kiswahili limetokana na hilo "madrasa"? Limit ya masomo ya madrasa ni Mwalimu au waalimu tu wanaofundishwa. Hakuna somo lisilofundishwa madrasa. Kumbuka hilo.
Neno "shule" ukienda Somalia hawalifahamu hilo, labda huyo Msomali ajuwe Kiswahili au Kijerumani kwani neno hilo limetokana na Kijerumani.
Nnaamini mtu ukiwa mjinga ndiyo unakubali kila unaloambiwa bila hata ya kufikiri au kuuliza.
Nakupongeza sana wewe kwa kuuliza kwani unaonesha unayosikia hayakuingii akilini. Hiyo ni akili nzuri.
Dahh Una akili sana .. wewe mama kusoma comments zako ni darasa tosha .. napenda jinsi ambavyo ulivyo na uwezo mkubwa sana wakujibu na kujenga HOJAJihad ni kama Kiswahili tu juhudi. Kila tulifanyalo tunatakiwa tulifanye kwa juhudi.
Binafsi sijaona mahali katika Uislam kumefundisha kuwa jihad ni "kupigania dini". Kupigana katika Uislam ni kwa kujihami tu.
Nimewahi kusikia kuwa "crusade" maana yake ni vita vya msalaba. Kweli?
@faizafoxy ni injinia, as far as I can recall, mtaalam wa mitambo na mawasiliano (telecommunication engineering).Unakwepa point unazoulizwa. Watu wanataka kujua elimu yako.
Kutoka na michango yako humu ndani, wangependa kujua.. umefika university, su level gan ya elimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema hapoMwenyewe umekiri "wanapusua tu", huko "kupasua" kwao ndiko kulimfanya Ndalichako awapunguze speed.
Laiti ungefahamu maana ya madrasa ungetamani hata leo hii ukasome huko.
Tofauti kati ya kuolewa/kuoa na kuoana ni ipi bibieKwa sasa elimu yangu haina umuhimu kwani nimejifunza kuwa kuelimika si kwenda shule pekee. Nimeona wengi wameenda shule kusomea ujinga.
Sijaolewa. Nimeoana na mume wangu. Mpaka sasa nafahamu ni mimi tu niliyeoana nae.
Sijaolewa. Nimeoana na mume wangu. Mpaka sasa nafahamu ni mimi tu niliyeoana nae.