Ukiwa na stress
Ukiwa low key
Ukiwa bored
Ukiwa free
Ukiwa off mood
Ukiwa na njaa
Ukiwa umeishiwa
Ukiwa na madeniππΏππΏππΏ
Hata ukiwa umeachwa ana umenyimwa pitia Hulu JF happy hour tujenge afya ya akili kwa kupost chochote kitakachowagurahisha wengine lakini pia bila kuwakera wengine
One hour inatosha kabisa kukuweka sawa
Mwaka huu mwezi wa tatu nilikumbwa na msongo wa mawazo lakini cha kushangaza nilipona kabisa baada ya kuanza kusoma comment za Mbaga Jrmzabzab pamoja na nyuzi za holoholo.
JF hunisahaulisha shida zangu na kufanya nibanjuke.