Kwa taarifa yako tu
Maxence Melo na uongozi mzima wa Jf unajua kama tunaandaa party.
Kama unaona tunaibia watu, nenda karipoti kwa
Maxence Melo,
AshaDii au
Paw kuwa waandaaji wa Party yaani mimi
Madame B na
Mzigua90 tunataka kuwaibia watu hivo waufute uzi.
Hahahaha
Kama wewe wa mkoani pole sana.
Ndio...wezi tunaandaa, vp imekuuma?
Nenda kashitaki