I can imagine kuna mtu atataka kuzamia, mwingine atakaa kwa mbali awaone tu watu wa JF wanafananaje akihisi wanatoka Peoples Republic of Mars. Mwingine atapiga picha nyingi sana ktk simu na ataanza zitembeza PM mpka zitafika ktk nyuzi. Yaani Ktk kila watanzania 4 tegemea mmoja ni Chuma cha reli. Hahaaaa
Ni kipindi ndani ya kanisa katoliki ambapo watu wanajiandaa kwa sala kuelekea sikukuu ya Noel mwez 12. Hapa Siruhusiwi kufanya sherehe yyte mpka ipite Noel.
I can imagine kuna mtu atataka kuzamia, mwingine atakaa kwa mbali awaone tu watu wa JF wanafananaje akihisi wanatoka Peoples Republic of Mars. Mwingine atapiga picha nyingi sana ktk simu na ataanza zitembeza PM mpka zitafika ktk nyuzi. Yaani Ktk kila watanzania 4 tegemea mmoja ni Chuma cha reli. Hahaaaa
Uzuri ni kwamba atetembeza picha bila kujua ni nani. Kuna siku kuna Uzi picha yangu iliwekwa humu bila aliepost kujua kama ni ya nani. Kaikuta alipoitoa akaipost huku. Sasa hayo ndo yatatokea after makutano