Nyie makahaba lazima mishipa ya shingo iwasimame kushawishi wanaume kuja kwenye ushankupe.
Mwanamke mwenye mwanaume anaejielewa hawezi hata kufirkiria mara moja habari za viparty uchwara kama hivi.
Tafuteni wanaume kwa nguvu, mtawapata inshallah.
JF imekua kama family sasa. Ilipofungiwa ilikua ni taharuki nchi nzima! Naamini humu kunawatu wamejuana wakapeana deals za biashara, kazi, masomo na wengine wamekua na serious relationships wakaanzisha familia na hata kuona
Kwahiyo ni vizuri kufikiria jambo litakalozidi kuwaleta watu pamoja ingawa si ajabu kama ilivo kwenye familia kubwa itatokea kuna wataokwazana na kugombana pia, that's life na maisha hayawezi kusimama, yataendelea tu Raynavero