Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Sep 15, 2018 #541 Mzigua90 said: Mkaribie mjini tu shemeji wa zamani Click to expand... shemeji wa zaman baada ya kupata shemeji mpya ntapata pa kufikia kweli ...?
Mzigua90 said: Mkaribie mjini tu shemeji wa zamani Click to expand... shemeji wa zaman baada ya kupata shemeji mpya ntapata pa kufikia kweli ...?
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,273 Sep 15, 2018 #542 Mzigua90 said: Ni kweli maana tukitambuana kiJF ndo yalee ya kuja kuanzishiana nyuzi Click to expand... Kama kuna Manzi anatafuta partner wa kuibuka nae kwenye hiyo Party, nistue tafadhali! Mlugaluga hapa, nipo nipo tu!
Mzigua90 said: Ni kweli maana tukitambuana kiJF ndo yalee ya kuja kuanzishiana nyuzi Click to expand... Kama kuna Manzi anatafuta partner wa kuibuka nae kwenye hiyo Party, nistue tafadhali! Mlugaluga hapa, nipo nipo tu!
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 15, 2018 Thread starter #543 culture gal said: Lol... kwenye party umpe sekta ya kugawa vinywaji. Click to expand... Kwa kweli. Maana naona ni mzururaji mzuri sana. Atatufaa sana
culture gal said: Lol... kwenye party umpe sekta ya kugawa vinywaji. Click to expand... Kwa kweli. Maana naona ni mzururaji mzuri sana. Atatufaa sana
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Sep 15, 2018 #544 Madame B said: Njoo utalala chumbani na mwanangu Click to expand... Hahahahahahaha ...wa kike wa kiume
Madame B said: Njoo utalala chumbani na mwanangu Click to expand... Hahahahahahaha ...wa kike wa kiume
cmoney JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 3,603 Reaction score 5,588 Sep 15, 2018 #545 eh eh katika watu 60 waweza kuta nusu yao ni watu wasiojulikanaπ΅π΅π΅πππ±
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 Sep 15, 2018 #546 Huku Bwagamoyo nitafika asubuhi
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,884 Reaction score 129,919 Sep 15, 2018 #547 Madame B said: Hiyo nayo ipo. Nikihakikisha kweli imeingia na jina la wakala limetokea. Unaingizwa tu....lol!!! Unajua hii thread huwa tunai-edit kila mara. Ni muhimu kurudi kuisoma ili uone kilichoongezeka Click to expand... Sawa nitalipia kupitia wakala then nitakujulisha.
Madame B said: Hiyo nayo ipo. Nikihakikisha kweli imeingia na jina la wakala limetokea. Unaingizwa tu....lol!!! Unajua hii thread huwa tunai-edit kila mara. Ni muhimu kurudi kuisoma ili uone kilichoongezeka Click to expand... Sawa nitalipia kupitia wakala then nitakujulisha.
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,748 Sep 15, 2018 #548 Simara said: Nimeona dear mambo ni . Click to expand... Umeshatuma hela??
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 15, 2018 Thread starter #549 JAMANI MUWE MNAIPITIA THREAD YA PARTY KILA MARA. HUWA KUNAKUWA NA MAMBO TUMEONGEZA. AU MENGINE TUMEPUNGUZA. HUWA TUNAI-EDIT ILI KUWEKA KILA KITU SAWA. HATUTAKI KUTINDINGANYA MAMBO SIKU HIYO. CHAAAAAA....!!!!!! THUBUTUUUUUU!!!!!
JAMANI MUWE MNAIPITIA THREAD YA PARTY KILA MARA. HUWA KUNAKUWA NA MAMBO TUMEONGEZA. AU MENGINE TUMEPUNGUZA. HUWA TUNAI-EDIT ILI KUWEKA KILA KITU SAWA. HATUTAKI KUTINDINGANYA MAMBO SIKU HIYO. CHAAAAAA....!!!!!! THUBUTUUUUUU!!!!!
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,393 Reaction score 88,770 Sep 15, 2018 #550 Yegomasika said: Kama kuna Manzi anatafuta partner wa kuibuka nae kwenye hiyo Party, nistue tafadhali! Mlugaluga hapa, nipo nipo tu! Click to expand... Mimi hapa natafuta wa kucheza nae blues.
Yegomasika said: Kama kuna Manzi anatafuta partner wa kuibuka nae kwenye hiyo Party, nistue tafadhali! Mlugaluga hapa, nipo nipo tu! Click to expand... Mimi hapa natafuta wa kucheza nae blues.
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 15, 2018 Thread starter #551 RRONDO said: Sawa nitalipia kupitia wakala then nitakujulisha. Click to expand... Sawa mkuu. Karibu
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,393 Reaction score 88,770 Sep 15, 2018 #552 RRONDO said: Mimi nataka kutuma kupitia wakala,msg siwezi kuwa nayo, nikikutajia jina la wakala haitoshi kuthibitisha? Click to expand... Inatosha
RRONDO said: Mimi nataka kutuma kupitia wakala,msg siwezi kuwa nayo, nikikutajia jina la wakala haitoshi kuthibitisha? Click to expand... Inatosha
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 15, 2018 Thread starter #553 sweetlee said: Huku Bwagamoyo nitafika asubuhi Click to expand... Utalala ukumbini. Asubuhi tutakuwahisha Tegeta Nyuki
sweetlee said: Huku Bwagamoyo nitafika asubuhi Click to expand... Utalala ukumbini. Asubuhi tutakuwahisha Tegeta Nyuki
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,393 Reaction score 88,770 Sep 15, 2018 #554 Lyon Lee said: shemeji wa zaman baada ya kupata shemeji mpya ntapata pa kufikia kweli ...? Click to expand... Huwezi kukosa shemeji
Lyon Lee said: shemeji wa zaman baada ya kupata shemeji mpya ntapata pa kufikia kweli ...? Click to expand... Huwezi kukosa shemeji
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 Sep 15, 2018 #555 Madame B said: Utalala ukumbini. Asubuhi tutakuwahisha Tegeta Nyuki Click to expand... Hahaaaaa wewe si mtu mzuri
Madame B said: Utalala ukumbini. Asubuhi tutakuwahisha Tegeta Nyuki Click to expand... Hahaaaaa wewe si mtu mzuri
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,393 Reaction score 88,770 Sep 15, 2018 #556 cmoney said: eh eh katika watu 60 waweza kuta nusu yao ni watu wasiojulikanaπ΅π΅π΅πππ± Click to expand... Unaogopa umewakosea kitu gani hao wasiojulikana? Na watakujuaje kama wewe ndo cmoney?
cmoney said: eh eh katika watu 60 waweza kuta nusu yao ni watu wasiojulikanaπ΅π΅π΅πππ± Click to expand... Unaogopa umewakosea kitu gani hao wasiojulikana? Na watakujuaje kama wewe ndo cmoney?
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,393 Reaction score 88,770 Sep 15, 2018 #557 sweetlee said: Huku Bwagamoyo nitafika asubuhi Click to expand... Hapo karibu hivyo
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 Sep 15, 2018 #558 Yegomasika said: Kama kuna Manzi anatafuta partner wa kuibuka nae kwenye hiyo Party, nistue tafadhali! Mlugaluga hapa, nipo nipo tu! Click to expand... Yego magamboki ?
Yegomasika said: Kama kuna Manzi anatafuta partner wa kuibuka nae kwenye hiyo Party, nistue tafadhali! Mlugaluga hapa, nipo nipo tu! Click to expand... Yego magamboki ?
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,393 Reaction score 88,770 Sep 15, 2018 #559 sweetlee said: Hahaaaaa wewe si mtu mzuri Click to expand... Sio MTU nzuri kabisa Madame B said: Utalala ukumbini. Asubuhi tutakuwahisha Tegeta Nyuki Click to expand...
sweetlee said: Hahaaaaa wewe si mtu mzuri Click to expand... Sio MTU nzuri kabisa Madame B said: Utalala ukumbini. Asubuhi tutakuwahisha Tegeta Nyuki Click to expand...
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 15, 2018 Thread starter #560 cmoney said: eh eh katika watu 60 waweza kuta nusu yao ni watu wasiojulikanaπ΅π΅π΅πππ± Click to expand... Haina kamshange. Poa tu. Maadam wamelipa. Tunawakaribisha
cmoney said: eh eh katika watu 60 waweza kuta nusu yao ni watu wasiojulikanaπ΅π΅π΅πππ± Click to expand... Haina kamshange. Poa tu. Maadam wamelipa. Tunawakaribisha