Ulianza kwa kutoa ushauri au ulianza kupaka?
Wewe si umeleta ujuaji?
Kwani ungeanza kuongea na kutoa maoni usingesikilizwa?
Unajikuta Mungu mtu...kukosea.
Mimi nina mwaka wa 3 katika uandaaji wa party za Jf...nazijua nje-ndani.
Wewe humu hujawahi hata andaa party za sisimizi.
Hebu tusikaushane uzazi
Madame acheni kuchafua hii plan, keep it in mind kwamba kwa kila jambo wapingaji wapo, usipoteneze energy ambayo ungeitumia kuweka mikakati kwa kuwajibu negative minded people.
Yani hata wakati Niko mwanachuo hatujawahi kufanya party coco labda zile za bday tena tulikua tunafanyia kule lounge kwa Side. Siku labda tupange tukale mihogo na vimishkaki vile