Kakuambiaje😀 Hao ndio forth generation hao.. Wamoto Gen Z wanasubiri🤣Nje ya mada
Binti yangu kaniuliza kuhusu jamii forum Leo. Anaingia second year.
Nimemjibu ni jukwaa la great thinker kiukweli kazunguka humu nimepigwa spana natoa macho nakutana na mada hii.
Majibu yangu hayaeleweki
Ka view baadhi ya thread yaani kakutana na misamiati hiyoo.Kakuambiaje😀 Hao ndio forth generation hao.. Wamoto Gen Z wanasubiri🤣
Dah.. Kaingia jukwaa gani maskini😀Ka view baadhi ya thread yaani kakutana na misamiati hiyoo.
Yuko tu mom angalia hii maana yake Nini. Mama hawa watu hawana morals
Nashukuru tu kuna foundation nimemuwekea sasa namtambulisha hii dunia mpya. Maana hata hii likizo ikiisha amesema hatarudi tena mpaka amalize masomo yake.
Yuko tu mom angalia hii maana yake Nini. Mama hawa watu hawana morals kaona uzi wa kula tunda kimaskhara🙌🏿🤣Ka view baadhi ya thread yaani kakutana na misamiati hiyoo.
Yuko tu mom angalia hii maana yake Nini. Mama hawa watu hawana morals
Nashukuru tu kuna foundation nimemuwekea sasa namtambulisha hii dunia mpya. Maana hata hii likizo ikiisha amesema hatarudi tena mpaka amalize masomo yake.
Ashukuru hata lile jukwaa letu pendwa lilifungwa 😄Yuko tu mom angalia hii maana yake Nini. Mama hawa watu hawana morals kaona uzi wa kula tunda kimaskhara🙌🏿🤣
Uwiiii naomba Mungu tu awe ameona vyenye manufaa kwakeYuko tu mom angalia hii maana yake Nini. Mama hawa watu hawana morals kaona uzi wa kula tunda kimaskhara🙌🏿🤣
Nilipoingia 2012 nikakuta kuna familia za watu humu.. Nashukuru nilipata moja💪🏿💖🤣Hivo Mshana Jr unasema kwamba enzi hizo mafaza walikuwa wanabagua watu sana, hawataki kukosolewa na kutisha watu wasitongoze bebe za humu.
Dah! Kwahiyo id yako ameshaijua?Ka view baadhi ya thread yaani kakutana na misamiati hiyoo.
Yuko tu mom angalia hii maana yake Nini. Mama hawa watu hawana morals
Nashukuru tu kuna foundation nimemuwekea sasa namtambulisha hii dunia mpya. Maana hata hii likizo ikiisha amesema hatarudi tena mpaka amalize masomo yake.
Nilipoingia 2012 nikakuta kuna familia za watu humu.. Nashukuru nilipata moja💪🏿💖🤣Hivo Mshana Jr unasema kwamba enzi hizo mafaza walikuwa wanabagua watu sana, hawataki kukosolewa na kutisha watu wasitongoze bebe za humu.
Kaniambia kaingia chitchat, mahusiano, entertainment na intelligence forumDah.. Kaingia jukwaa gani maskini😀
Wewewe I'd yangu hawezi kuijua kamwe.Dah! Kwahiyo id yako ameshaijua?
Kama ndiyo nimefumba macho kwa niaba yake akiona madarasa ulotoa ya chumbani😂
Sasa ni kipi kiliwakimbiza hao mafaza na kipi kimewafanya kurudi na id mpya na kujifanya gen z waliochafukwa roho?Nilipoingia 2012 nikakuta kuna familia za watu humu.. Nashukuru nilipata moja💪🏿💖🤣
Hizo familia zilikuwa zina ushirikiano mkubwa sana kwenye mada zao likes nk.. ! Hiki kitu kiliwakera sana wakuja😂
Mshana wewe more than thatHahahaha.. Uzuri ni Binti na wamefanana kweliView attachment 3615619