JF Freestyle battle special thread

Hivi we unaona sifa kunitongoza hadharani...wakati unajua huna nafasi hujionei huruma jamani?! Ahhhh mi nimechoka ngoja nilale sasa kabla wanga hawajarudi makwao!
 
Hivi we unaona sifa kunitongoza hadharani...wakati unajua huna nafasi hujionei huruma jamani?! Ahhhh mi nimechoka ngoja nilale sasa kabla wanga hawajarudi makwao!

khaaaa! tulog out pamoja basi laaziz! Pat ataendeleza libeneke mpaka kieleweke
 
Mr. Klorokwini,
upinzani naona umepwaya,
and ths z bcoz, Lizzy, kaenda chapa ucngizi, & Pat Gucci, na mm nafeel sleepy, let me go 2 ma bed, ili kesho nsije sinzia kwa church,
ucdhan nimekuogopa, the cause nshakupa hapo above,
so kama vp see ya baadae, kwa hii hii thread,
and that iz hw I end up Da SHOW!
 
Anaweza nini huyu ba wewe?!Mistari utadhani ina HIV....sema tumwache asome some yetu labda atajifunza kitu mpaka kesho!
eti kesho!!!! matatizo ya kukariri, so do u mean Juma3...teh! teh! teh! Eti great thinker! Low capacity of thnkin
 


pamoko sana kamanda, mimi mwenyewe nitazamia kiaina, nitapotea kwa muda, majukumu full loaded, lakini nikilejea kama kawa!

nitakuchana mbaya sana!
 
Anaweza nini huyu ba wewe?!Mistari utadhani ina HIV....sema tumwache asome some yetu labda atajifunza kitu mpaka kesho!

heheehe huyu kijana ni wa kwaya lakini anataka kujifanya wa beats,infakti jamaa hauziki hata kwenye segere.
 
eti kesho!!!! matatizo ya kukariri, so do u mean Juma3...teh! teh! teh! Eti great thinker! Low capacity of thnkin
Usiwe mshamba...mashambulizi yanabaki kwenye battle na sio kwa mtu binafsi!We kwanini udhani by kesho nimemaanisha jumapili na sio jumatatu...au hata nilipo mimi jumapili imeshafika?!USIONYESHE UPUMBAVU WAKO HADHARANI!
 
Ha ha ha! Rewind! "Usioneshe Upumbavu wko hadharan" n hekima,busara ziitajikazo jukwaani/si kukurupuka mbya zko fkra kuziweka hadharani/check Lizy klorokwn,wamebatle tata vina co ww hayawani/Oops! N hasra zmenfanya n tusi samahani/we show u skilz,bars kwa freestyle uta sizi/u loser step aside ucheck maujuzi/kwa urefu wa kamba ndo atakula mbuz,nawe uwezo kwishnei tc better ukatunza pumz. Tc yo turn lady lizzy, umtoe kchwan upuuzi.Watsup watsup watsup!
 
Kwanza ngoja,kijana wacha kumponda.. Au umekua konda?mana ukikosa kichwa huishi kuponda.. Kwanza we ni ng'onda,umekonda,vidonda hufanani na nonda.. Ebwana ngoja kq ucmaindi mana ii battle,so don panic,jus shika mic na na na na jus show ur strength to the funs.
 
Usiwe mshamba...mashambulizi yanabaki kwenye battle na sio kwa mtu binafsi!We kwanini udhani by kesho nimemaanisha jumapili na sio jumatatu...au hata nilipo mimi jumapili imeshafika?!USIONYESHE UPUMBAVU WAKO HADHARANI!
Lizzy, baby mama, hata kama ukini2kana, mm ctaacha kukuchana, mistari yako ipeleke saloon ipate sukwa, hapa c o pahali pako, kwako ni kule kwa wanawake hulka, asubuhi kumepambazuka, na hapa kichwa yangu imepanda mizuka, ww mtema pumba, mm producer wa points, natoa mistari yangu binafsi sio nyie mnao form Joint kumchangia Husla PAT!
 
jarbu hata vina bas! Man dah!! Unatia huruma, hamna pa kukupigia.
 
dogo acha kutalk talk, ebu kwanza jaribu 2liza ball, ukizingua nitakung'oli, ww ndo umeishiwa kabisa bora urudi ukaji-charge, coz bado hujakamilika kuwa mchanaji, ww ndo wangu kijakazi, na kunitumikia its must, utawork under my rule, and dats z my first rule, njoo nikupge pindi, coz now ndo kipindi, unasumbuliwa na jinamizi, ndo maana unamtegemea Lizzy, mm niko level za kina Wizzy & u wil never reach pande hizi, umeskia wewe katoto Eshacky?
 
Yoyo yo yo yo yooo!
ngoja kwanza nimesahau kushika chini ya zipu ya suruwali; na kukunja ndita.
Haya sas, yoyo yoyoo yoyo, ah nimesahau kuvuta bangi kidogo.........
HAHA HAHAAA HAHAAA!:bange:
 
Nyie ni wakare ila msinichane coz me so m k w e r e....Duh! Nimetishaaa!
 
Yoyo yo yo yo yooo! ngoja kwanza nimesahau kushika chini ya zipu ya suruwali; na kukunja ndita.Haya sas, yoyo yoyoo yoyo, ah nimesahau kuvuta bangi kidogo.........HAHA HAHAAA HAHAAA!:bange:
Hahahahahaaaa! Na lijeans kiuno size 40 na minyororo shingoni, soksi 5 kila mguu na kiatu oversize kwa Hashim Thabiti..
 
Eti baby mama kweli we huna maana....warusha tu maneno kila kona toka jana!We sio hadhi yangu...wala sio class yangu...mtoto mdogo sana kiakili japo ndio ni age yangu...Huna jipya kwenye game zaidi ya kujisifia “eti mimi kama Wizzy“....ndio wewe ni mwizi...kazi kujipa vyeo pasipo ujuzi!BTW ulishanionyesha tangu pale juu nlipokuita mtoto wa mama kwamba huwezi kushindana na mimi maana ulikimbia madai kwahiyo nakupotezea....can‘t waste my rhymes on you lil bwoi!
 
Nyie ni wakare ila msinichane coz me so m k w e r e....Duh! Nimetishaaa!
wala hata haina kwere, kaka kwamex, c unajua mimi ndo expert, ctakuchana sababu we hujajifanya mjuaji, kama dada Lizzy, mwenye tabia ya ki-pinky!
 
eti am a lil bwoi! hahaha uniacha hoi, kwenye vumbi mm sikohoi, coz am not goigoi, mistari yako inanuka kama harufu from toi, kwa hii Game hunitoi.....sa mbona unamwaga chozi!? Cheki ilivo mlain kama Chinnesse's ngozi, alaf utaka game kuitake over? Nakunyima ucngizi coz mimi ndo mimi, Pat from Arachuga pande za Mbauda, nakuona ww ni kuda, c o bure ndo maana umezeeka sabab ulikuepo tangu enzi za mabasi ya UDA, nakusaliti kama Yuda, hahaa! na we ww kwenye game umevunda, This z HipHop na c o PRAKATAH TUMBA!
 

Mc demo tatizo wakariri,
Teknik zero wajiita mahiri,
swaga kwenye gauge una sifuri,
Hoi brain plus kiwiriwiri,
Naspit content dhahiri,
Zikuerase rap failure jangiri,
Lyrical contents hizi nakiri,
Lame reaction from Gucci nasubiri,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…