Jf for window phone: Nokia lumia 720

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Wadau, Natumia window phone Nokia Lumia 720 je kuna Apps yeyote ya JF kwa ajiri ya hizi simu??
nimekuwa nikipata shida sana kuanzisha Thread mpya humu Jf kwa kutumia hizo simu, imebidi niwe natype kwenye uwanja wa meseji and then nacopy na kupaste kwenye kale kaeneo ka kuweka new topic.
nitashukuru kwa msaada wa kiufundi kuhusiana na hili tatizo
 
Off topic kidogo.. Kuna ambae tayr amesha update to window 8.1 ? Maana mm naambiwa no updates available wakati nasikia hiyo update ina mwezi tokea itoke chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Off topic kidogo.. Kuna ambae
tayr amesha update to window 8.1 ? Maana mm naambiwa no updates
available wakati nasikia hiyo update ina mwezi tokea itoke
chief-mkwawa

mpaka uwe na simu ambayo ni ya developer ndo unapata update. ila soon itatoka kwa wote. google kuifanya simu iwe dev unlocked ni rahisi tu
 
Last edited by a moderator:
Haya kagoogle na xap deployer uone dunia nyengine ya piracy ya wp
 
mpaka uwe na simu ambayo ni ya developer ndo unapata update. ila soon itatoka kwa wote. google kuifanya simu iwe dev unlocked ni rahisi tu

Nimeshindwa mkuu kufanya hvyo nimedownload sdk 8.0 imegoma kuinstall
 
Nimeshindwa mkuu kufanya hvyo nimedownload sdk 8.0 imegoma kuinstall

Njia rahisi sign in acount yako na windows phone studio utatambulika kama dev halafu download release developer preview toka store utapata updates. Very easy kama hivyo
 
Njia rahisi sign in acount yako na windows phone studio utatambulika kama dev halafu download release developer preview toka store utapata updates. Very easy kama hivyo

Ngoja nijaribu mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…