Swali kwa Maxence Melo;
-Nini kilichokusukuma kuanzisha JF?
Hivi Maswali bado yanapokelewa eeh!
Just ask. Kwa leo atajibu yale yalio pokelewa mwanzo ila baadae akipata muda anaweza kuendelea kujibu pole pole.
King'asti ......Mwanangu labda sijaelewa, Je na sisi wadau tunaruhusiwa kuuliza maswali au tunatakiwa kutulia na kunywa kahawa huku tukishuhudia ukiendelea na interview yako.........?
Kina nani hao tena? :lol:Kuna watu walikuwa wanasema Maxence Melo ni Mchaga, sasa leo wameumbuka na Propaganda zao.
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
Ahsante sana Mods wote na King'asti kwa uendeshaji wa zoezi hili....
Ningependa kuwa msomaji tu zaidi, ila itanipendeza kujua kuhusu suala la "Mapato ya JF"
Max, mna mipango gani zaidi ya kuboresha mapato?
Nina uhakika hii ni changamoto kubwa, na pia ni kweli michango yetu subscriptions haijitoshelezi sana ukilinganisha na kazi mnayopiga na mahitaji ya JF kwa ujumla....!
Mungu awatangulie sana mzidi kuwa wajasiri katika yote!
Kina nani hao tena? :lol:
Kuna watu humu humu JF walikuwa wanadai hivyo. Sikumbuki exactly ni nani na nani!