Kwanza nitoe pongezi kwake Maxence Melo na Co-Founder Mike Mckee pamoja na wale wote Mods inclusive kwa kuwezesha na kuendeleza Jamii Forum. Ningependa kuwakilisha swali langu:-
Jamii Forums is one of the fastest growing network in Tanzania and I think it safe to say in East Africa too (Kenyan included part in the Forum evidently hints to that). Nauliza swali on the basis ya matatizo ya maintenance yaliyotokea mwezi wa 5/6 kama sikosei... ambapo mlisema yatakaa kwa muda mfupi ila mwishowe yalikaa kwa muda zaidi ya matarajio... Mmejipanga vipi for elections za 2015?
Ikiwa wazi kabisa kuwa wakati huo wa uchaguzi kuna uwezekano mkubwa wa members kuongezeka na pia traffic kuwa kubwa.
Kwamba JF ni top kwa hapa East Africa ni jambo lisilo na ubishi.....good enough, ukilinganisha na other East African Forums, hapo utakuta JF ipo far, far away from her rivals! For instance, wakati JF ipo nafasi ya 12,794 ( as per Alexa World Traffic Rank), Mashada.com from Kenya ambayo ni one of the most popular forum in Kenya, inashikilia nafasi ya 142,935 !!!! Ikumbukwe kuwa, Mashada Forums ipo online since 1999 na ni among the oldest African Forums....pamoja na yote hayo, lakini JF is far away kutoka ilipo Mashada!! Apart from Mashada, kuna Kenya List ambayo nayo ni very popular nchini Kenya. Pamoja na yote hayo, Kenya List inashika nafasi ya 52,276 .
Kutokana na yote hayo, JF inastahili pongezi za hali ya juu.....na pongezi za pekee ziende kwa mkuu Maxence Melo na timu mzima ya JF! Likewise, pongezi za pekee ziende kwa Watanzania....hii inaonesha wazi kwamba Watanzania tu​ watumiaji wakubwa wa forums/mtandao otherwise, as far as JF is purely Swahili Forum, basi pasi na silika hii ya Watanzania basi huenda JF isingekuwa hapa!
Welldone y'all !
mimi napenda kutoa pongezi kwa uongozi mzima wa jf.jf ni forum inayopunguza hasira za wazalendo wa kitanzania vinginevyo watu hawa wangekuwa msituni.
Swali kwa Melo ni moja tu...je anajilinda vipi dhidi ya watekaji kama wale wa ulimboka?
Shukrani kwa wazo hili. Swali langu ni moja ambalo hata leo naweza pata jibu lake kwako, je nawezaje kutumia jina langu kamili badala ya hili la sasa maana mwanzoni nilifikri unatakiwa kutumia jina la kificho. Lakini kila kitu kinabaki kama ilivyo isipokuwa jina na pia kuongeza email yangu ya yahoo ambayo mara nyingi huwa natumia sana kulikoya gmail. Ahsante sana