JF experience the difference

JF experience the difference

Auntie!
Shkamoo , ntazamie namie , coz mi nikihitaji kuingia huko kujiangalia , salio langu (MB) zinalika kama randa za mbao zilizopigwa kiberiti.
marahaba my son. shika kalamu na karatasi
posts 1836
rep power 56648
likes received 3559
likes give 12
acha uchoyo my son haaa kwanini hutoagi like?
 
hata mi naona wii maana nilifikiria weeee nikawazaaaaa lakini jibu linagoma kabisa kumbe mnapokezanaga na kaka, basi itabidi na mimi nianze kushea hii ID na mume wangu Arushaone aisee

...Likewise, nawe utumie na hii yangu honey. Takupa pasiwedi.
 
Watu wana ID tatu tatu humu JF...moja active na nyingine za kuzugia...ngastuka.
 
Back
Top Bottom