Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Mbunge wa Mbeya Mr. II amepiga marufuku matamasha yote ya FIESTA mkoani mbeya kwa madai kuwa yanaua vipaji vya wasanii. Source status yake ya FB.
Vinega?
i am too old for that...
Tatizo sio Sugu,wasanii wetu hawajajitambua.subirini tamati ya msanii Diamond ambayo najua haipo mbali ndio mtajua nini nazungumza.Asilimia 99% ya wasanii wetu wanaona hatua moja tu mbele! Mafanikio ya haraka haraka yanawapumbaza.
Tunataka kuzungumzia Sugu na Vinega kwa mlango wa kisiasa lakini si mjadala wa kusaidia mawazo wasanii wetu wasiojielewa!

Kwani kuna mtu kaweka siasa hapa?
Vinega hawakutaka kufuata ushauri wa thamani kubwa tuliowapa bila malipo. Wakashirikiana kututukana na kutudharau. Asilimia 33 ya gross income yao wametoa msaada jimboni kwa Sugu. Sugu anawatumia kisiasa...
ujui kinachoendelea kuhusu vinega,kaa kimya usije onekana pimbi mbele za watu.
Mkuu maisha ya kibongo hayana consistance kwa wote si wanamuziki tu, so Diomond kuja kufulia ndio maisha yetu ya kibongo na si wanamuziki tu, wapo wanasiasa,wafanyabiashara,wafanyakazi nk walikua nazo tena na elimu zao lakini leo tunapigana vikumbo kwenye madaladala na mama ntilie
Hapa swala ni Sugu kawatosa wenzake FULL STOP, hayo ya siasa yawepo au yasiwepo lakini yeye ndio alikua kinara wa kupambana na Clouds kupitia vinega, kaenda kushake hand na adui na akapewa alichodhulumiwa kawatosa wenzake. Hana msimamo kwa wasanii wenzake
Sawa, wewe unayejua tuambie basi * whats up with kukataa fiesta?