Jamani hicho kibao cha Buzwagi Kinapatikana wapi?
Wale vijana wa muziki wa kufoka foka nao vipi hawajavalia njunga hii so inayo wafanya wale mlo mmoja kwa siku kama Nchi yote ni Jela?
Hebu nitonyeni basi wapi nikatembelee!
Mara kibao nimeona ukitumia maelezo haya:- Ikiwa local government itawatoza kiasi, blaa... balaa!
tafadhali nakuomba unipe somo hapa kidogo maanake navyofahamu mimi hizo levy zimepangwa ama hupangwa na serikali kuu. Local government hawana sauti kabisa ktk miradi hii ila hupokea kile wanachopewa kama ilivyoagizwa toka huko juu.
Ndio maana hata ktk mikataba yote hawakuhusiwa kutoa madai/maamuzi ya aina yeyote. Kwa hiyo tunaposema local government kuwatoza wawekeshaji wa madini nadhani tunatafuta njia ya mkato kupunguza uzito wa scandal nzima ya madini.
1. Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na kuhoji serikali kwenye mambo yote ikiwa ni pamoja na kutofuata sheria zilizotungwa na bunge!.mpaka sasa bado naona kizunguzungu kuhusu mikataba ya madini. na kwa ridhaa ya bunge lipi wanaingia hiyo mikataba? je ni bunge hili hili au wanaingia kisha wanatoa taarifa bungeni?? je kama wananchi hatutaki kuingia mikataba ya kifisadi namna hii, watalazimisha kwa manufaa ya umma??? je ni umma upi huo unaonufaika na mikataba hiii?? jamani mwenzenu kichwa kinauma..
2.1 This agreement shall constitute a "development agreement" within the meaning of section 10 of the Act and it adds to and modifies the terms and conditions of the Special Mining Licence as the context thereof may require.