Hahaha, access levels za JF zipo tofauti sana. Hakuna kufuta kusikokuwa na reverse option. Hata hivyo, mods wetu hawako trained hivyo!Nimekuelewa Mkuu...! Lkn tukumbuke hawa watu Wana nguvu sn ya kifedha kiasi wanaweza kuwapa fedha Ma mods ata Hizi thread za hili skendo zikawa zinafutwa tu..!
Nimekuelewa invisible katika kipindi Kama hiki lazima twende kwa umakini wa hali ya juu Sana.tunapambana Na watu wenye nguvu lazima tuchukue tahadhari. Asante Sana mkuu tuko pamoja.Mkuu,
Pumzika; lengo si kuvuruga mwenendo wa Bunge bali kuwafanya wanaojaribu kufanya upotoshaji wafahamu kuwa nyaraka nzima ya ripoti ipo tayari kwetu raia na waache michezo yao.
Wawajibishane, kila mtu aubebe mzigo wake. Wanaowajibika na wawajibike; usanii wowote katika hili utachafua hali ya hewa pasi na ulazima wa kufikia huko.
Nadhani tusiendelee, tuliachie Bunge lifanye kazi yake
au unataka aweke ule ukurasa wa nani ni nani?
Hii si ripoti ya mtu, ni ya watu. Utahonga wangapi? Kama kuna jumla ya watu takribani 60 wanayo, utaanza na nani umalize na nani?
Narudia, moto huu hauzimiki kwa kuumwagia petroli!
Yes,Nimekuelewa invisible katika kipindi Kama hiki lazima twende kwa umakini wa haki ya juu Sana.tunapambana Na watu wenye nguvu lazima tuchukue tahadhari. Asante Sana mkuu tuko pamoja.
Hahaha, access levels za JF zipo tofauti sana. Hakuna kufuta kusikokuwa na reverse option. Hata hivyo, mods wetu hawako trained hivyo!
Ni viambatanisho mkuu wangu. Basically tunavyo, na hata hizo pages mbili nilizoweka zimenyofolewa!
Hapa ninachotaka wafahamu ni kuwa, hatutaki kuingilia utendaji wa Bunge lakini wasihangaike na sarakasi zao; moto huu hauzimiki kwa kuumwagia petroli!
Yes,
Ndo maana inabidi tuhimizane UZALENDO na kusisitiza zaidi watu kusahau tofauti zao za dini, vyama n,k na tukawa wamoja kuwakataa wanaolizamisha Taifa letu.
Wabunge watusaidie kusimama kuhesabiwa; waweke Taifa mbele lakini asionewe mtu wala asilindwe mtu!
Nimekuelewa Mkuu...! Lkn tukumbuke hawa watu Wana nguvu sn ya kifedha kiasi wanaweza kuwapa fedha Ma mods ata Hizi thread za hili skendo zikawa zinafutwa tu..!
I smell something fishy.. hata invisible page unazotoa sioni uzito wake. zaidi zaidi jina la ex-cdf... mengi ni kama justification inayoweza kucontradict na yale tuliyokwisha lishwa humu jf na kuyaamini. kwa sisi wananchi wa kawaida lugha tunayoielewa ni je pesa ya kodi zetu imeliwa kifisadi? yes... na nani? shi ngapi? tafuta hizo page ndo tunazitaka man. kama hamna page za hivyo naona hata hiyo ripoti haina maana..
Nimekuelewa invisible katika kipindi Kama hiki lazima twende kwa umakini wa hali ya juu Sana.tunapambana Na watu wenye nguvu lazima tuchukue tahadhari. Asante Sana mkuu tuko pamoja.
Mbona hiyo ni kurasa ya 24 Kati ya 59?
nashindwa tu Ku upload file hapa ningeweka yote
Ndugu,
Wengine tumeanza hii mambo since 2006 (on IPTL) na wala hatujawaza hayo unayoyawazia.
Rethink!
Ukiamua kuheshimu utu na nafsi yako PESA haitokupa shida kukufanya utende usiyopenda....
Wiki ilopita nilipotoa msimamo Mkali juu ya hili nilipigiwa SIMU za vitisho na hongo eti tu nitetee ujinga....
Ktk maisha nilishachora mstari kuwa hela haiwezi nunua fikra zangu....
CCM ilishajiandaa kwa hili ndio maana wakati JK anaenda US nilisema hapa anaondoka kutuachia uwanja tucheze vizuri ngoma ya ESCROW nafikiri BAK anakumbuka....
sema huna siyo unashindwa ku-upload,
siku zote huwa una upload namna gani na usiku huu net hata kwa babu Loliondo ipo kitu cha 3G.
hata kama ungekuwa nayo usinge upload wewe na wenzio kina Ritz, FaizaFoxy, Hamy-D, MwanaDiwani, chambruma na wale wenzenu hili kwenu ni ziwa la moto hamuwezi kujitiamo!
Hii ishu bila wanaCCM kuwa against nayo isingefika hapa ilipo....
Think big.....