sijakuelewa ujue
Ndo mana nakupendaga sana Mpenzi wangu.
Mmwaaahh!!!
Jioni uje na ndizi.
Nicas Mtei mehbuba wangu lazima niingie naye........hunifanya woga wote unaisha, presha inashuka, maumivu yanaisha! na mwishowe napona kabisa na hivyo nakuwa sihitaji dawa ya daktari yeyote yule zaidi yake sosoliso wangu tu
hata mie simuelewi bora aje
JF naomba kuwatangazia kuna Easter Ngorongoro tour inakuja na maandali yanaendelea kama ifuatavyo!
Nautaratibu wa Camping site huko hivi!
Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu wawili Gender aijalishi ninyinyi kujipanga!
Mnaomba kila mmoja wenu apange angependelea kwenye tent apangwe na nani ili tuone kama totweza ku accommodate tents for all members.
CC: amu, Tulizo, lara 1, Paloma, Asprin, Superman, Kaizer, Preta, Zion Daughter, King'asti, Kipaji Halisi, watu8, Ruttashobolwa, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, KOKUTONA, FirstLady1, mwaJ, cacico, figganigga, Nivea, Smile Dark City Mrejesho
Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu wawili Gender aijalishi ninyinyi kujipanga!
Wife Paloma hujaniambia kama Ben Saanane ni mjengezi mwenzangu..
Ruhazwe JR pia ni ex wakoHahahaaaaaaaaaaaaaaa.............
Haya Asante my X