KakaKiiza mie bado sijakuelewa.
Hiyo Sh 200,000/= ni kwa kila kichwa cha mwana JF au ni Jumla ya gharama za Usafiri kwa Basi tutakalokodi?
Ila kama mko Serious, naomba uniweke kwenye list ya watakaokwenda.
Iwe mchango ni Laki 2 au vyovyote vile..........we niweke.
Ila tent langu naomba nishare na Shemeji zangu wote......... watu8, Nicas Mtei na Judgement
Msusi na mshonaji wote ni mafundi tu....
Kazoea nokia space ni 0 sasa hii ni ya kichina space ni no1 ukibonyeza 0 ni dot kazi ipo mpaka aizoee kazi imemkuta!
Ila tent langu naomba nishare na Shemeji zangu wote......... watu8, Nicas Mtei na Judgement
[/B]
Akiwaga na demu ndani ya gari unafikiri anamtambua mtu.
Thubutu.
Chezea limbwata.
CC: Wanawake wake wooote popote walipo.
Kila la herihataki. ngoja nimbembeleze Passion Lady, naye akikataa nalia. mia
Hahahah shem mie sipoooo!!