JF detox... Time πŸ“΄

Mwaya nitakumis sana.

Sisi wengine JF ni kijiwe cha gahawa /kibaraza cha umbea uswahilini , tukichoka na kuuza supu tunakuja kuzogoa humu, hapo mtu haujibu msg wasapu/haupokei simu ila JF uko active.

It’s JF and ticktock for me.
 
kitabibu,
dalili kuu ya mtu mwenye changamoto ya addiction or stress, ni kubisha kwamba hana na wala hausiki na hiyo hali,

did you know this πŸ’
I can't argue with a person having OCD kila kukicha ana chawia ccm wakati yeye mwenyewe hana maisha
 
Cc Espy_
Sijasoma...naomba tafsiri
 
Mwaya nitakumis sana.

Sisi wengine JF ni kijiwe cha gahawa /kibaraza cha umbea uswahilini , tukichoka na kuuza supu tunakuja kuzogoa humu, hapo mtu haujibu msg wasapu/haupokei simu ila JF uko active.

It’s JF and ticktock for me.
Why?
Kwanini usijibu watu wako wa karibu na kuzogoa na watu usio wajua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…