Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,442
Habarini za Muda huu Member Wenzangu.
Ikiwa yamebaki Masaa tu kuelekea Saa 11 jioni kwa Ajili ya ile Party Yetu,
Hapa Napenda Nitoe Ratiba kamili ya Yatakayojili Pale Kebby's Hotel.
5:00-6:00pm
Wana CC kuingia Ukumbini.
6:00-6:15pm
Mgeni/Wageni rasmi kuingia Ukumbini.
6:15-7:00pm
Kufungua rasmi Party yetu kwa kufungua Shampein na kugonga Cheerz kwa member wote pamoja na Mgeni/Wageni rasmi.
7:00-7:45pm
Utambulisho kwa Memberz wote,pamoja na kumfahamu Mgeni/Wageni rasmi.
7:45-8:15pm
Maneno Machache toka kwa Mgeni/Wageni rasmi.
8:15-9:00pm
Chakula kwa Wote.
9:00-9:30pm
Chit Chta Talk Talk
9:30-10:00pm
Maneno machache toka kwa Waandaaji
10:00-10:15pm
Mgeni/Wageni rasmi kufungua Muziki.
10:20-Majogoo/am
Dancing, Chitchatting, Enjoying etc.
NB:
1. Sisi ni Binadamu,penye mapungufu mtusamehe.
2. Halafu kama kuna ambavyo vitajitokeza tutawataarifu.
3. Kumbukeni Pale kwenye Garden kuna Live Band,hvo After All unaweza kwenda cheza kidogo.
4. Mnasisitiziwa kuwahi jamani.
5. KARIBUNI NYOTE.
Kwa Wale woote ambao Mtakuja kwenye Hii Party,P'se Nendeni kwenye PM zenu kuna ID tumewapa za Kuingilia
Updates:
JAMANI MEMBERZ AMBAO MMEPOKEA HIZO ID Kule PM HAKIKISHA HUISAHAU,KWANI NDIO KIINGILIO CHAKO