Jf dar wing niko niko jijini

Jf dar wing niko niko jijini

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,450
Reaction score
1,753
Wadau leo wikiend wapi; mi niko jijini kwenu au mnataka kuwa kama wale wa Mwanza ambao wageni huingia mjini kwao wanajificha
 
Hahaahaha babu Asprin duh. wewe mkareeee siku nitakuhesabia idadi wee endelea tu.
 
Wewe ni he au she? Kama ni she ebu ni PM namba zako chapchap sana.

Afu ukome, Dar sio wing, ni hedikotaz.

mimi ni HE; alafu tunazidi kuwakumbushia kuwa michepuko haifai, mbaki njia kuu.
 
Angesema yy ni she ungeona watu wakichacharika na pm's
 
wewe unafikiri dar wanachobokea mitoko ya kifesibuku
nenda hukohuko mwanza nadhani watakushobokea
 
Angesema yy ni she ungeona watu wakichacharika na pm's

Leonk PSI wana kazi kweli kweli ImageUploadedByJamiiForums1391861225.440393.jpg
Hii kitu watu wanadhani ni pambo la puto kubwa kumbe wanaelimishwa

cc Asprin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom