hapo chacha! lol... I miss the gal, nilidhani amerudi bana, nimekuta threads zake zimepandishwa nikasema the gal is in the house..... Kumbe Watu wamemumiso. Last time I heard anaenda shule na yahitaji attention yake yote...lol
:lock1:
Asante Gee Cee
ila ngumu kweli kuruka geti
watu wanaparty afu wanakuwa wanakupotezea kiaina sababu unavalishwa mask.
kweli arudishwe hata siku 2 atupasue vichwa.
Maana sijui huwa anapata wapi topic zake
lazima watoe ndani na mataulo.
Hehehehe!
Jumamosi njema wapendwa wote! Leo nipo busy mahali fulani mtanisikia radioni..
Penda nyie wote!.
Mungu awe nanyi wakati wote!
Mwaaaaaaaa!
7. Preta + Mtu Chake (japo TANMO anataka kuvuruga)......
May Shem, Preta nachukua fursa hii kuweka Marekebisho about couple No 1.
Couple hiyo Judgement Vc Husninyo ilitenguka au kubadilika mara tu Husninyo alipo announce rasmi kujitoa Jf kwa muda usiojulika.
Aidha kama ilivyo kua "wastara hua haumbuki" ama "mgaagaa na mkavu hali mpwa wa wali"
Judgement nikapata wa kunistiri Beibe Nasty.
Ndoa tuliifunga chapchap kwa ofice ya Dc, ikiwa imeshuhudiwa na 10 Members wa Jf. Labda niskitike hatukuitangaza sana kwakua kulikua na plenty of rivals against me!
So far in order to avoid some tragedy shughuli ikafanywa na watu wachache.

haaa! nami nipo single baada ya laadhidhi kwenda jela (sobhuza). Natafta mumeee jamani. platozoom naona unachelea kutangaza ndoa!
Sikutaka tia neno nisionekane kifront front bt asante kwa kuuelezea umma
Asavali lakin ulivosemaaUngefunguka tu asali wa mie!
Simuoni wa kukwita kifowardfoward!
a a....we wenzio waume zao wakifungwa huwa wanaongea na bwana jela ampeleke hosp.....then from zea changanya na zako.....
charminglady mbona una haraka........mimi ndio niko kwenye mchakato....si unajua kuna ile ishu ya kaka kuibiwa mke (Madame B) ndio nipo kwenye harakati za kumtafuta....Nichumu.....Pole shosti wa mieee