Ulizidi kuturingishia! Ukitamka maneno 10, tisa unamtaja Eliza lol.
Mwaga!.. Ole wako usipomwaga!
Shemeji sizitaki kukurukakara zako
hehehe! Bora ungebaki kuwa maziwa fresh tukuchemshe chai.
nyie nanyi
mnataka kumrusha roho SL bure.
Nity mwenyewe alimlilia SL hadharani
huyo wa zamani mbona hakujitokeza?
kalagha baho!
Chezeiya preta weye
anakuziba maskio
kuna tetezi mtaa wa chit chat kuwa kahongwa haria na mmeo.
Kaulize kwa mshona viatu Rejao
ana taarifa zao zoote.
hehehe! Unamaanisha nikufichie siri?
Kama yupo niliyemtelekeza basi ajitokeze mbele ya kadamnasi
kuna skendo hapa kutoka kwa maziwa mtindi, naomba ufafanuzi wa kueleweka kabla sijahama nyumba.
Sijui nianzie kusoma wapi.. Mh.. Somebody give me a summary!
naskia unambemenda Bagah sijui Erick baada ya Nitty kukumimina.
Hahahaaaa hili ndo nalisikia toka kwako....naskia unambemenda Bagah sijui Erick baada ya Nitty kukumimina.
Hahahaaaanyie nanyi
mnataka kumrusha roho SL bure.
Nity mwenyewe alimlilia SL hadharani
huyo wa zamani mbona hakujitokeza?
Amyner ni shemeji yangu sijawahi kuwa na mahusiano naye kuwa na adabu usitake kuvunja ndoa za watu sasa hivi
Mtoa mada, umeainisha Canta alimkwapua Rejao,
nimeanza kuamini kwani wote hawajatia maguu kwenye Uzi huu.
Iweje kutwa nzima Canta asiijibu hii tuhuma?
Mkupuliwa na mkupuaji wote dwiii, wamekula kobis .
Hivi PAROLE imepita JF...?
Nadhani FF na MS nao wako huru....!
Nitty
Mphamvu
.........
........
........
GMpoleeeeeeeee?
naskia unambemenda Bagah sijui Erick baada ya Nitty kukumimina.
Kumbeeeeeeee!usituongeleshe hayo mambo
yanatisha sana.