Jf Couples (New Version)

nyie nanyi
mnataka kumrusha roho SL bure.

Nity mwenyewe alimlilia SL hadharani
huyo wa zamani mbona hakujitokeza?
Asante maziwa mgando kwa kunitetea, Erick gonga like hapa badala yangu, mie wajua ni wa via mchina siku zote!

Wanatafuta kunichonganisha na nitty wangu ila hawataweza!
 
Hahahaaaa
Couple bora ni namba 4 kwa kuwa hatuna kashfa yoyote kama zingine.....Mara kakwapua....mara kaiba wa mtu...Lol

hujui amy kuna sharobaro anammendea. Sharo hataki ila mtoto kang'ang'ania. Sio best hiyo ina usaliti.
 
Mtoa mada, umeainisha Canta alimkwapua Rejao,
nimeanza kuamini kwani wote hawatia maguu kwenye Uzi huu.
Iweje kutwa nzima Canta asiijibu hii tuhuma?
Mkupuliwa na mkupuaji wote dwiii, wamekula kobis .

kuna skendo hapa kutoka kwa maziwa mtindi, naomba ufafanuzi wa kueleweka kabla sijahama nyumba.
 
yaani nilikuwa sijui,nimewekeza sana pale,RAV4,nyumba tegeta,wadogo zake nimepeleka ulaya.....we acha tu,hapa ni maumivu makali,poa lakini yote maisha.

Tajiri la Kihaya unaona ulivyopoteza?

Pole lakini..
 
Wamekutana wote mcharuko, aliyekwambia Bishanga katulia ni nani?

Ah.. Tajiri la Kihaya nalo ni mcharuko?

Haiwezekani hata kidogo...! Tutaanza kunena kwa lugha zetu,muda si mrefu na nimemuona Nitty mahali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…