Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,244
- 90,420
napita, umri hauniruhusu kuwa hapa!
Anzeni kuruka !
Hana lolote Eliza wa Tegeta kamuumbua.
ujue siku mbili tatu hizi E wa T nili note kabadilika,simu zangu hapokei,sms hajibu,kuuuuumbeeeeeeee!Ndio ukome kujishaua! Ona limekushuka.
Sasa mbona unacheka bila kunigongea LIKE? Unajua mtu akicheka kwenye post zangu afu asikagonge kale kadude, kikojoleo changu hakisimami kwa wiki moja unusu. Unataka wazembe wanichukulie mama watoto wangu mchana kweupe nikiwa naangalia? Hebu ka do the needful kabla baioloji yangu haijazurika:crazy:
Hehehe! Eti jungu lol.jamani nikisikia jungu nisiseme?
umefurahi eh?Anzeni kuruka !
Hana lolote Eliza wa Tegeta kamuumbua.
yanakuhuuu? mwone pembe kama za kuku!Si unapenda wake za watu eeh.
Ndo vibao hivyo vinakufuata.
Wamekutana wote mcharuko, aliyekwambia Bishanga katulia ni nani?Eliza wa Tegeta naye.. Mcharuko sana!
yaani nilikuwa sijui,nimewekeza sana pale,RAV4,nyumba tegeta,wadogo zake nimepeleka ulaya.....we acha tu,hapa ni maumivu makali,poa lakini yote maisha.Eliza wa Tegeta naye.. Mcharuko sana!
sitaki hata kumsikia,kumbe ana mtu aisee,uuuuuuuwwwwwwiiiiiiii weekend yangu imaharibika,nakwenda kujifungia ndani,kujishaua kote huko,du!
yanakuhuuu? mwone pembe kama za kuku!
Kwani mateka ulishamwachia?
naomba namba ya simu ya nitts pliz,i wanna tok to him,urgently,kuna kitu nataka nimweleze......Hehehe! Eti jungu lol.
Uwe unathibitisha kwanza..utasutwa.
yanakuhuuu? mwone pembe kama za kuku!
unachonga sana wewe! iko siku...........Wamekutana wote mcharuko, aliyekwambia Bishanga katulia ni nani?
Sikupi! Isijekuwa unataka kumwambia aniache kama wewe ulivyoachwa na Eliza wa T.naomba namba ya simu ya nitts pliz,i wanna tok to him,urgently,kuna kitu nataka nimweleze......
mmmhhh Mwanakijiji nasikia ana share kwa SS Bakresa,ntamweza mie? najiweka pembeni babu nsije pata kichaa bure.Mie wala siingilii, baadae mkikutana mnapeana mahaba kesho ukija hapa utaongea mengine.
Akuuuuu mi simo!
Hahahaha! Sipati picha anavyofungiwa chumbani..kweli mapenzi yana rani dunia lol.Bora kuachia ikulu kuliko mateka.
Wee, ile sabuni ya looo.
maumivu ya kichwa huanza pole pooooole!!!!!!!!!!Hebu niangalie macho, yamelegea hadi raha.
Afu pozi langu la picha, weeh, nimegeukia nyuma lakini macho mbele.
umefurahi eh?