JF Competition for the Best Tanzania's 30yrs Vission Statement.

rohrer

Member
Apr 3, 2012
92
22
Wadau mimi ni mgeni humu jamvini hivyo mnisamehe kama mada hii imejirudia. Nashauri mods watuandalie shindano la uandishi wa vision statement ya nchi yetu kwa miaka 30 ijayo. How to go about, wataalamu humu jamvini watusaidie ila napendekeza iwe kwa njia ya kupigiwa kura. The winning vision statement itatusaidia kuongoza mijadala inayohusu maendeleo ya nchi yetu kama reference point
 
Back
Top Bottom