Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Last edited by a moderator:
Heri ya sikukuu ya x mass na mwaka mpya my darling kiwatengu na wana jf wote
mungu awabariki sana muvuke mwaka salama na kukamilisha yote mliyoyapanga mwaka huu.

UJUMBE;The love of a family is a life's greatest blessing
 

Attachments

  • Merry-Christmas-Flowers-Wallpapers-2013.jpg
    52.5 KB · Views: 41
Last edited by a moderator:
kiwatengu, mimi sina ujumbe wa kuvutia... ila na penda tutakiane afya njema katika msimu huu wa sikukuu na pia tuwatakie safari njema wenzetu wote watakaosafiri nje ya maeneo walipo kwa ajili ya mapuziko.

sikukuu njema...

Asante sana mkubwa wangu wa ukweli.
 


 

asante sana kaka binamu, nami nakutakia heri ya Xmas na Mwaka mpya uwe na afya nzuri na uepushwe na baya lolote lile na mipango yako iwe kama ulivyo tarajia katika kipindi hiki na kipindi kijacho cha mwaka 2014.

Salamu hiyo iwafikie marafiki zangu wapendwa Arushaone, Erickb52, Kipaji Halisi The Boss, sweetlady, Chocs Bishanga, Passion Lady, baba yangu kipenzi watu8, my mama measkron, dogo lake Ladymasa, my sis charminglady ladyfurahia, The secretary mwekundu, nitonye Mapi, Baba V, PakaJimmy, Ruttashobolwa, Simplicity, Invisible, Judgement, sosoliso, DEMBA Kaizer, WA-UKENYENGE, Madame B, Nicas Mtei, Kijino, KOKUTONA, Paloma, YNNAH, I am Strong, my lovely kaka kabanga, Ben Saanane, Chimbuvu, Jiwe Linaloishi, Mwanyasi, LiverpoolFC, amu, Mzee wa Rula, Mamndenyi, 'Valentina', Wisest man(miss u), Lily Flower, Mzee, Evelyn Salt, slave, kobun, mathematics, @C6, Katavi, mkiva Asprin, Smile, farkhina, Preta, 24hrs na wanajf woote Mungu awalinde na awenanyi katika kipindi choote cha sikukuu na kipindi chote cha uhai wenu, mazuri yawe nanyi na mabaya awaepushie!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…