Nendefula mbatu ngicha tupu
kuwore se kindo kingi achiwuta pfo naiyo.
Mi nataka unijibu wewe bwana...
KAKA eti unadhani, ndivyo hivyo...! umesikia YNNAH?
So wewe na Heaven on Earth......??????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!KAKA eti unadhani, ndivyo hivyo...! umesikia YNNAH?
teh teh teh... kwanini bwana...?ahaaa...
mimi ki ukweli siwezi kula binamu! hata kama ni nyama ya hamu!!!
So wewe na Heaven on Earth......??????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
CC haina mpinzani bwana, ni full shangwe wallah!
Daah!!!!! sasa huu msemo inakuwaje?ahaaa...
mimi ki ukweli siwezi kula binamu! hata kama ni nyama ya hamu!!!
Hebu twende tukachungulie kule siasani kidogo bestleo nime iinjoy sana ka una stress huku raha tu
Kamekaa vizuri eeeh?yereuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii haka kamsemo haka
Kamekaa vizuri eeeh?
Hebu twende tukachungulie kule siasani kidogo best