Kweli naexperience, kwa hiyo mmcheza wote kibaba na kimama, pia ulemchezo wetu wa jioni wa kombolela.....yeye siyo wa kutafuta kwa ruhusu, we are friends since i was 10 and she was 5
there now u can experience the difference
ombi langu ni moja uongeze upendo na kufanya kazi kwa bidii ili tuwe na maisha boramy sweetest wife ever...
hebu niambie mwaka unaokuja unataka nikufanyie nini?
ombi langu ni moja uongeze upendo na kufanya kazi kwa bidii ili tuwe na maisha bora
honey kumbe upendo hauna mwisho?
hapa ninavyokupenda najua ni maximum kabisa..kumbe natakiwa niongeze zaidi.
naongeza zaidi na zaidi mpenzi wangu.
Kuhusu kazi, nitafanya kwa juhudi zote kabisa
na MUNGU atusaidie.
honey can you rest
for a while, umesahau baadae unatakiwa ufanye kazi gani?
Ni mkesha leo, unakeshea wapi Shem?
Yupo huyu mama, kwani Heaven on Earth wanini? mwenzio shansarie umemuomba ruhusa umtafute binamu yangu....?