Jf chit-chat imepungua mvuto...tuandamane.

aya maandamano mpaka kwa invisible na maxence...bango nalinyanyua kwa kuibiaibia,siunajua tena wazee wa virungu na bosi wao Kova huwa awachezi mbali!!
Afu wewe, ndio nini waanzisha maandamano police wakitokea wakwanza kukimbia? Umetuacha wenzio tumemwagiwa maji ya pilipili! Maandamano yamesaidia Nyani Ngabu kaachiwa, tuendelee na wengine waachiwe, makutano pale pale pa jana!
 
Back
Top Bottom