Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Khaaa! Siamini!
habari ndo hiyo niko nae hapa anapiga nyagi lol na nimeona ulivyombip! Punguza upromota wifi,
Khaaa! Siamini!
Hahahahahaaa ban ni km kwenda likizo...the
Mnajuana nyie
Aisee msalimie saaaaanaaaaa namkibali sana kwa story majukwaani...mwambie hini kaka yangu mpendwa kabisa niko nae hapa sasa hivi.nimwambie unamsalimia?
Aisee msalimie saaaaanaaaaa namkibali sana kwa story majukwaani...mwambie hi
kasema nikugongee like,amekumic pia!,subiri kidoogo nibadilishe betri
Kipi kikushangazacho Bishanga? Kwani si kweli nitonye kalambwa ban?.. Afu nikikukamata wewe!ha! SL?
Mapenzi kizungu zungu Bishanga asikwambie mtu, kama wewe hujui limbwata nitty anajua! Unalo lol!mmmmmhhhhhh!!!! Wahaya siku hizi nao wanajua limbwata?
That's true..Watoto weengi sana siku hizi,,pyaaa
Niko nyuma yako geuka utaniona na bango langu!Mie nimeshaanza kuandamana,nipeni tafu wadau.
hahahahhaaaaa wapishi hawafanani......thats a good one....Lizzy amejaa tele kuna mahali nimemwona humu jamvini......ila huyu mdada we acha tu....pasua kichwa!simuoni Lizzy siku nyingi hapa,tunamiss mabandiko yake...mstue awe anatuletea vitu hadimu hapa..
Kuhusu na mimi kuleta vyangu nitajitahidi mkuu Bishanga,sema siunajua tena ata wapishi awafanani..
bojo nakolaki?Kipi kikushangazacho Bishanga? Kwani si kweli nitonye kalambwa ban?.. Afu nikikukamata wewe!
Unanionea vile hakuna wa kunisaidia kutafsiri eeh?bojo nakolaki?
KT? Haya bana,hata sie hiyo teknolojia twajua,sema ye kakuwahi,kwa raha zake......endeleeni bana sie washangiliaji......anameremeta...SL anameremeta.....!!Mapenzi kizungu zungu Bishanga asikwambie mtu, kama wewe hujui limbwata nitty anajua! Unalo lol!
bojo nakolaki?
Niko nyuma yako geuka utaniona na bango langu!
PAW tafadhali kama umekataa kumpa dhamana nitonye, tuambie ban yake inaisha lini!!! Umeliona?kuna mabango mengi nayaona,lako limeandikwaje??
Mh....ndio umeanza manyanyaso au?tasibayomta?onyamege waitu.
Bibi harusi anameremeta, anameremetaaa!...KT? Haya bana,hata sie hiyo teknolojia twajua,sema ye kakuwahi,kwa raha zake......endeleeni bana sie washangiliaji......anameremeta...SL anameremeta.....!!
PAW tafadhali kama umekataa kumpa dhamana nitonye, tuambie ban yake inaisha lini!!! Umeliona?