Jf chit-chat imepungua mvuto...tuandamane.

Stv Mkn

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
328
273
Wapendwa mie sio mchangiaji sana wa hapa chitchat,ila ni mpenzi sana wa hili jukwaa..
Na kikubwa kinachonifanya nipende kuchungulia umu,ni vibweka na burudani ya baadhi ya memba ambao kwa sasa siwaoni kabisa..na wengi nimeona wamepewa BAN
Ivyo nilikuwa nashauri ndugu zangu tuandamane ata kwa kutuma meseji kwa mods wawape msamaha hawa watu ili tuendelee kupata uhondo..

Baadhi ya hao memba ni hawa hapa.

Nyaningabu
Faizafoxy
Kiranga
Rev Masanilo
Figganiga
Mwita25
Matumbo
Lizzy
Bigirita
Washawasha
MTM
Boss
Jmushi
Mzee

na wengine wengi...
 
Alokwambia Lizzy kala ban ni nani? By the way ukitaka kula kubali na wewe uliwe,yaani wewe unataka kina bishanga tujikunje na kumwaga burudani halafu wewe,kama ulivyosema mwenyewe,unapenda kuchungulia vibweka na burudani,mkuu kwani hapa ni sinema kwamba unalipia ku enjoy? Hapa ni nipe nikupe,na wewe mwaga burudani na sisi tufurahi sio ulalamike wadau eti hatuku entertain.
 
mie nashangaa kwa nini wameitoa chitchat kwenye updates????? nini umuhimu wa kufanya hivyo....mbona jukwaa hili ni zuri tu watu wanasociolize ?
 
Alokwambia Lizzy kala ban ni nani? By the way ukitaka kula kubali na wewe uliwe,yaani wewe unataka kina bishanga tujikunje na kumwaga burudani halafu wewe,kama ulivyosema mwenyewe,unapenda kuchungulia vibweka na burudani,mkuu kwani hapa ni sinema kwamba unalipia ku enjoy? Hapa ni nipe nikupe,na wewe mwaga burudani na sisi tufurahi sio ulalamike wadau eti hatuku entertain.

simuoni Lizzy siku nyingi hapa,tunamiss mabandiko yake...mstue awe anatuletea vitu hadimu hapa..

Kuhusu na mimi kuleta vyangu nitajitahidi mkuu Bishanga,sema siunajua tena ata wapishi awafanani..
 
Back
Top Bottom