Kwanini siku hizi Tanzania kumekuwa na tatizo la kutamka na hata kuandika maneno yenye R na L.
nakumbuka sisi zamani tulivyokuwa "primary" ukiikosea kutamka R ukatamka L basi utaliandika ubaoni hilo neno huku unalitamka mpaka uweze mara 100 bila kukosea ndiyo adhabu yako inapoishia, ilikuwa ni muwarybaini.
Vipi siku hizi ndiyo shule za kusomea ujinga?