ba tamuu kanichekeshaa jana, anasemaje muambie huyo Dogo kuwa aache mazoea na wee na kuja hapo kwako, lasivyo anachokufanyaga wee na mie nitamfanya yeye.
Nilikasirika nikaanza kumchamba asinidharau kihivyoo. Huyu dogo ananifanya nn mie? Yeye anajibu nimeshakuambia wee muelekeze hivyoo.
Sasa uduguuu naanzaje mie kumuambia dogo haya mambo, yaan ba tamu sijui km havuti mjani huyuu. Khaaaah.