Ndio hivyo,
Mtu akiwa hayuko interested na wew hata ufanyeje, utahangaika tuu.
Huyu demu tulikutana akiwa anauguza mkono( alipata ajali.).
Jamaa yake alimuacha akiwa bado mgonjwa.
Mwanaume nikajitahidi kumpa psychological support plus medical advice za hapa na pale.
Kumshauri kwa sana kuhusu mazoezi.
Lakini wapi, sijaambulia chochote.