Halafu kumuomba mtu Msamaha sio kwamba tunakubembeleza Wala kukuomba we huoni kama umemkosea? Kwanini mnakua na huu utoto kwamba mtu aki like au akicheka kwenye Post ya Adui yako nae tayari ni Adui yako? Huo ni utoto. Kama huoni umuhimu acha. Sio kama unatufaidisha sisi. 😏😏

Mbona nimeshaomba msamaha na kuhusu Hilo la kulike sihusiki nalo mbona sina utoto huo na yeye mwenyewe nataka aje hapa kuniomba msamaha nimekuomba msamaha mara 5 hii sasa