Kwanini unanifokea?????π€Usinitaje pamoja na hao ma boss tafadhali π€
Ndio sina mtaji! Ningekua nao ningenunua 1TB hujui kufutafuta ni umaskinihiyo umesema wewe,kwani we ukinunua simu ya gb 64 na ukawa unafuta vitu inamaana hauna mtaji wa kutosha..??
πKwanini unanifokea?????π€
Hayakuhusuukwani hamkupeana vya asubuhi mbona mnazalilishana kwenye jumuhia mbalimbali..?
ππ
Kupeana nini mkuu??kwani hamkupeana vya asubuhi mbona mnazalilishana kwenye jumuhia mbalimbali..?
UtamuπKupeana nini mkuu??
Hahahahahah kumbeUtamuπ
Ilikuwa wakorea walee nimesahau mwaka aisee sema hii story tuachane nayoNihadithieπ
Unanisingiziavizazi
TB 1 ndogo sana inatakiwa TB 5000Ndio sina mtaji! Ningekua nao ningenunua 1TB hujui kufutafuta ni umaskini
ππmin hebu kakichape hichi kitoto kinakwarua kila mtu huku!..π