Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,509 Reaction score 94,640 Feb 24, 2022 #241 Parabuthus Transvaalicus said: KENZY shkamoo brother kuna sisteri mmoko humu namkubali kinyama .. ila naogopa ππ Click to expand... Mie mnoko? π€£π€£π€£
Parabuthus Transvaalicus said: KENZY shkamoo brother kuna sisteri mmoko humu namkubali kinyama .. ila naogopa ππ Click to expand... Mie mnoko? π€£π€£π€£
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Feb 24, 2022 #242 KENZY said: Hujapata company tu mi mwenyewe hiyo ndo season ya kwanza kuimaliza sijawahi kumaliza season zaidi ya hiyo!.. jiulize kwanini nimalize..? Click to expand... Itakuwa nzuri bila shaka Sema huwa napenda nijue jinsi movie ilivyo hapo nitagoogle sasa hiyo ya season zote hizo itaniboa
KENZY said: Hujapata company tu mi mwenyewe hiyo ndo season ya kwanza kuimaliza sijawahi kumaliza season zaidi ya hiyo!.. jiulize kwanini nimalize..? Click to expand... Itakuwa nzuri bila shaka Sema huwa napenda nijue jinsi movie ilivyo hapo nitagoogle sasa hiyo ya season zote hizo itaniboa
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,509 Reaction score 94,640 Feb 24, 2022 #243 KENZY said: Keshafika Sasa kazi kwako mpange mipango tule pilau sisi.. Click to expand... Na unavyopenda kula sasa
KENZY said: Keshafika Sasa kazi kwako mpange mipango tule pilau sisi.. Click to expand... Na unavyopenda kula sasa
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,139 Reaction score 43,362 Feb 24, 2022 #244 KENZY said: We mwenyewe unahitaji msaada..π Click to expand... Dogo tulia basiππ
Light Saber Imetosha Sasa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2017 Posts 4,632 Reaction score 8,320 Feb 24, 2022 #245 Demi said: Mie mnoko? π€£π€£π€£ Click to expand... πππ Siyo mnoko bhn , ni mmoko nkimaanisha mmoja wa kipekee... Letu litakuwa bora .. likipambwa na mmea β€οΈβ€οΈ
Demi said: Mie mnoko? π€£π€£π€£ Click to expand... πππ Siyo mnoko bhn , ni mmoko nkimaanisha mmoja wa kipekee... Letu litakuwa bora .. likipambwa na mmea β€οΈβ€οΈ
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,139 Reaction score 43,362 Feb 24, 2022 #246 KENZY said: Karoge tu..π Click to expand... Ntampata tu siamini kwenye marogeziπ
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,761 Reaction score 86,422 Feb 24, 2022 Thread starter #247 Demi said: Mie mnoko? π€£π€£π€£ Click to expand... Ni mmoko anamaanisha mmoja..π
Light Saber Imetosha Sasa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2017 Posts 4,632 Reaction score 8,320 Feb 24, 2022 #248 KENZY said: Ni mmoko anamaanisha mmoja..π Click to expand... Sijui nimuulize yeye mwenyewe kuwa nimuingie KWA gear Gani? π€
KENZY said: Ni mmoko anamaanisha mmoja..π Click to expand... Sijui nimuulize yeye mwenyewe kuwa nimuingie KWA gear Gani? π€
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,509 Reaction score 94,640 Feb 24, 2022 #249 Parabuthus Transvaalicus said: πππ Siyo mnoko bhn , ni mmoko nkimaanisha mmoja wa kipekee... Letu litakuwa bora .. likipambwa na mmea β€οΈβ€οΈ Click to expand... Ooh basi nilielewa vibaya. Thanks for the compliment.
Parabuthus Transvaalicus said: πππ Siyo mnoko bhn , ni mmoko nkimaanisha mmoja wa kipekee... Letu litakuwa bora .. likipambwa na mmea β€οΈβ€οΈ Click to expand... Ooh basi nilielewa vibaya. Thanks for the compliment.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,761 Reaction score 86,422 Feb 24, 2022 Thread starter #250 Tinsley said: Itakuwa nzuri bila shaka Sema huwa napenda nijue jinsi movie ilivyo hapo nitagoogle sasa hiyo ya season zote hizo itaniboa Click to expand... Inavyozidi utamu ndo unakolea..
Tinsley said: Itakuwa nzuri bila shaka Sema huwa napenda nijue jinsi movie ilivyo hapo nitagoogle sasa hiyo ya season zote hizo itaniboa Click to expand... Inavyozidi utamu ndo unakolea..
Light Saber Imetosha Sasa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2017 Posts 4,632 Reaction score 8,320 Feb 24, 2022 #251 Demi said: Ooh basi nilielewa vibaya. Thanks for the compliment. Click to expand... Awww .. im blushingi next time hata kakopa kalichokatika mie ntaunga na super glue
Demi said: Ooh basi nilielewa vibaya. Thanks for the compliment. Click to expand... Awww .. im blushingi next time hata kakopa kalichokatika mie ntaunga na super glue
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,761 Reaction score 86,422 Feb 24, 2022 Thread starter #252 Demi said: Na unavyopenda kula sasa Click to expand... Maisha mafupi kinyama acha nile
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,761 Reaction score 86,422 Feb 24, 2022 Thread starter #253 financial services said: Ntampata tu siamini kwenye marogeziπ Click to expand... Utazeeka fanya hima upate mtu weye..π
financial services said: Ntampata tu siamini kwenye marogeziπ Click to expand... Utazeeka fanya hima upate mtu weye..π
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Feb 24, 2022 #254 KENZY said: Inavyozidi utamu ndo unakolea.. Click to expand... Siku hizi nafuatilia soap operas sana Hazitii uvivu kama season
KENZY said: Inavyozidi utamu ndo unakolea.. Click to expand... Siku hizi nafuatilia soap operas sana Hazitii uvivu kama season
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,761 Reaction score 86,422 Feb 24, 2022 Thread starter #255 Parabuthus Transvaalicus said: Sijui nimuulize yeye mwenyewe kuwa nimuingie KWA gear Gani? π€ Click to expand... π€£π€£ Sasa utaharibu bora hata uanze kumuuliza kwao Kuna mbwa..? Au muulize umekula..?π Gia nyengine muulize anaonaje Ukraine na Russia..π
Parabuthus Transvaalicus said: Sijui nimuulize yeye mwenyewe kuwa nimuingie KWA gear Gani? π€ Click to expand... π€£π€£ Sasa utaharibu bora hata uanze kumuuliza kwao Kuna mbwa..? Au muulize umekula..?π Gia nyengine muulize anaonaje Ukraine na Russia..π
Light Saber Imetosha Sasa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2017 Posts 4,632 Reaction score 8,320 Feb 24, 2022 #256 Demi said: Ooh basi nilielewa vibaya. Thanks for the compliment. Click to expand... Ety Dada kwenu kunae mbwa?
Demi said: Ooh basi nilielewa vibaya. Thanks for the compliment. Click to expand... Ety Dada kwenu kunae mbwa?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,761 Reaction score 86,422 Feb 24, 2022 Thread starter #257 Tinsley said: Siku hizi nafuatilia soap operas sana Hazitii uvivu kama season Click to expand... Nazijua Sasa..π Nitoe ushamba kwanza kabla Chakorii hajaja
Tinsley said: Siku hizi nafuatilia soap operas sana Hazitii uvivu kama season Click to expand... Nazijua Sasa..π Nitoe ushamba kwanza kabla Chakorii hajaja
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,761 Reaction score 86,422 Feb 24, 2022 Thread starter #258 Parabuthus Transvaalicus said: Ety Dada kwenu kunae mbwa? Click to expand... Anza na salamu muulize Mambo..?π
Parabuthus Transvaalicus said: Ety Dada kwenu kunae mbwa? Click to expand... Anza na salamu muulize Mambo..?π
Light Saber Imetosha Sasa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2017 Posts 4,632 Reaction score 8,320 Feb 24, 2022 #259 KENZY said: Nazijua Sasa..π Nitoe ushamba kwanza kabla Chakorii hajaja Click to expand... Ni opera mini za sabuni
KENZY said: Nazijua Sasa..π Nitoe ushamba kwanza kabla Chakorii hajaja Click to expand... Ni opera mini za sabuni
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Feb 24, 2022 #260 KENZY said: Nazijua Sasa.. Nitoe ushamba kwanza kabla Chakorii hajaja Click to expand... Tamthilia hizi Ambazo wafipino wanatudanganya huku
KENZY said: Nazijua Sasa.. Nitoe ushamba kwanza kabla Chakorii hajaja Click to expand... Tamthilia hizi Ambazo wafipino wanatudanganya huku