sijawahi kusoma private sasa ubishi ama uhakika..?
darasa la saba anaweza kutengeneza pesa kushinda mtu aliesomea uchumi issue ni hulka pia!,kuna watu wanasoma lakini hawana uwezo wa kuishi walichokisoma!. utajiri una awamu zake kuna awamu lazima ujue kujibana sa mtu hana hulka ya kujibana unafikiri atatoboa!