Baada ya miaka 10 kupita natumai wanachama wengi wameshafika angalau miaka 40's au 50's.
Wengi ni wazazi wenye watoto, kuna baadhi ya mambo hata upange hayawezi kuwa marahisi.
Kama hukuyafanya na kuyafurahia haya miaka ya 20's na 30's basi tenaa, kaa tu ulee familia.
Hatujakwama Preta ni mambo yanaingiliana kana kwamba unamkuta kila mtu yuko busy mbaya kabisa na ninachoamini hata sasa tukijipanga yale yote yanawezekana✅✅