JF Arusha, Where are you this Sunday?

Jamani naombeni mtafutieni muuza sura Bwana wa Ki machame ili na yeye aifurahie sikukuu yake maana ana maneno mengi sana na wanawake wenye kelele namna hii wanatakiwa wapate mwanaume anayesema plesha is mai hakuna waswas!
 
Ushaondoka?!Kama bado upo njoo 88 baadae nikupe offer ya mtori wa ukwee...ukweli bwana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…