Apps ni tofauti na mobile, kwa mfano moja kati ya advantage ya app ni kwamba unaweza kuingia mara moja online ika-download "latest updates" halafu unazisoma ukiwa offline, hii inasaidia hata kupunguza sana matumizi ya internet kuliko mobile site,hata upande wa mpangilio wa makala apps zina ubora zaidi. Advantage ni nyingi na mimi naliunga mkono hili, ila tu mkuu juu huko ametaja Symbian, hili hapana kwani symbian is dying platform. Tusiwasahau pia wa platform ya QNX (Blackberry) iwapo wataalam watakubalina na hili. Forums, blogs na hata website zote kubwa zinatumia apps.