Bibie watu wangekuwa na mtazamo kama huu wako katu wasinge endeleaKwani JF mobile haitoshi?!Inafanya kazi kwenye simu zote kwa kiwango stahiki kwahiyo binafsi sioni kwanini uone kuna haja ya kutengeneza nyingine!
Apps ni tofauti na mobile, kwa mfano moja kati ya advantage ya app ni kwamba unaweza kuingia mara moja online ika-download "latest updates" halafu unazisoma ukiwa offline, hii inasaidia hata kupunguza sana matumizi ya internet kuliko mobile site,hata upande wa mpangilio wa makala apps zina ubora zaidi. Advantage ni nyingi na mimi naliunga mkono hili, ila tu mkuu juu huko ametaja Symbian, hili hapana kwani symbian is dying platform. Tusiwasahau pia wa platform ya QNX (Blackberry) iwapo wataalam watakubalina na hili. Forums, blogs na hata website zote kubwa zinatumia apps.
Mmmmh kiranjaKwani JF mobile haitoshi?!Inafanya kazi kwenye simu zote kwa kiwango stahiki kwahiyo binafsi sioni kwanini uone kuna haja ya kutengeneza nyingine!
Tapatalk pia inapatikana kwenye Blackberry zote kasoro Playbook, lakini bei ni mara mbili ya ile ya iOS na Android.jaman mi na2mia tapatalk nafungua jf kwa raha zote watakaofahd ni wanotumia android na ios....
Tapatalk pia inapatikana kwenye Blackberry zote kasoro Playbook, lakini bei ni mara mbili ya ile ya iOS na Android.