JF app for windows 8/8.1...

JF app for windows 8/8.1...

wickerman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
408
Reaction score
252
Nimeamka kisha nikawaza, nikaona ingekua poa sana kama kungekua na app ya JF ya windows 8/8.1, ingependeza sana, iwe na features kama instant notifications, instant notifications za subscribed threads... Na ikiwa na Live tiles itapendeza sana kwenye start screen...
Screenshot (9).png

Najua ipo ya simu...
Wenye windows 8/8.1 plz support this...
 
hakuna cha simu wala saa, tumepiga kelele had mate yamekauka.

sahv inabid tuwe wapole
 
Kuna siku nilitoa hilo wazo kwa Invisible na kumuomba nitengeneze desktop application yenye features kama ulizozitaja @wickerman na nyingine nyingi including chats n.k but sikupata majibu niliyoyatarajia kwani kuna vikwazo vya kitekniko ambavyo vilikuwa nje ya uwezo lakini cha msingi hii kitu ni muhimu kwani kufungua browser kunatia uvivu.

Lakini kwa upande mwingine nadhani JF wanaogepa kujikita kwenye mobile & desktop apps kwa ajili ya kuogopa matangazo yao kama ya AdSense na mengine kusosa viewers... so bado kunachangamoto nyingi, ila tuwe wavumilivu nadhani vitakuja muda sio mrefu.

Daaah tena ingepatikana Metro App ingekuwa raha sana lakini labda kwa badae sana kwani nnavyojua mimi JF haina programmers wa kutengeneza hizi app kwa sababu wanategemea app ambazo zinakuwa customized special kwa vBulletin... Forums

Ushauri wangu. JF tafuteni madevelopa muwape hela wataifikisha JamiiForums mbali kwa sababu wataleta vitu vipya....

JF kuwa hivihivi siku zote inaboa watu wanahitaji mabadiliko kadri yanavyotokea.
 
Eti wi fi yangu haipo tena toka niweke window 8 pro nairudishaje?
Ni driver or setting kama driver naipataje
 
Back
Top Bottom