JF anzisheni kura ya maoni plz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF anzisheni kura ya maoni plz

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Mar 4, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  naomba jf muanzishe kura ya maoni kuuliza kama uchaguzi ungefanyika leo mambo yangekuwaje. hili lingekuwa zoezi la kila miezi mitatu
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  pumba tupu
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  ahapanan.

  iaandikwe hivi:

  je unakrubali serilakili iliyoko madrakani ipindluliwe?

  (a) kijeshei
  (b) kwa nguv ya unmma?
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mbona matokeo ya kura za maoni yameshatoka.
  inaelekea hufwatilii wewe

  Matokeo ya kanda ya ziwa (mikutano ya CDM na maelfu ya waandamanaji) yaliyomfanya JK abembeleze wanainchi ndio physical results hamna uchakachuaji pale.
   
 5. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  day dreaming!!!! tuanzishe jukwaa la waota ndoto!!!!
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Mbona Kikwete alishakataliwa na wananchi kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi uliopita ila matokeo hayakuheshimiwa? hatuhitaji kura za maoni kwa sasa, tunahitaji vitendo tumuondoe madarakani kwa nguvu ya UMMA na sio nguvu ya CHADEMA, hakuna serikali ambayo inaweza kuondolewa madarakani bila wananchi kushikamana na na kuviweka vyama vyao pembeni na kutambuwa shida tunazozipata sio shida za vyama, hapo tutafanikiwa, kumbuka chama cha Hosni Mubarak kilishinda kwa asilimia 98% kwenye uchaguzi, lakini miezi miwili baadae wananchi walisema sasa basi yatosha, kama noma na iwe noma na ikibidi ile kinoma, yu wapi mubarak leo? tuweke vyama na dini pembeni tujipatie uhuru wetu, maana sisi wote sasa hivi ni mateka ndani ya nchi yetu.
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  mimi napendekeza uazishiwe jukwaa lako na mazezeta wenzako.
   
Loading...