Hehehe mkuu unavyoongea utadhani ni kitu cha ajabu, https ni basic step kwa mtu yeyote mwenye website mbona.
Tatizo ni je hawatoi data zako kwa serikali? Maana pamoja na kuficha username kuna njia nyingi sana za kumkamata mtu humu JF, almost kila mtu yuko traceable, JF hua wana~log IP Addresses zote.