Jezi za Taifa Stars zimeangalia maslahi ya Yanga

Hapa tunazungumzia timu sio bendera.
Tunazungumzia rangi si timu. Mtoa hoja nanataka kwenye jezi za timu ya taifa kuwe na rangi nyekundu kwa vile ni rangi ya timu kubwa hapa nchini. Je hii ni sababu ya msingi? Azam je nao tuweke rangi yao kwenye jezi za timu ya taifa?
 
Umeshindwa kutambua juhudi za mama mzazi aliyekubeba tumboni kwa miezi tisa, akakuzaa na kukulea mpaka kufikia hapo leo hii unamkosea heshima kiasi hiki??

Kwa akili kama hizi za kwako basi tuna mile nyingi za kwenda
Mkuu uishi milele
 
Mbona hamkuhoji walipoikoleza blue. Acheni hizo bana Mtani.

Nadhani wameamua kufanya mabadiliko hivyo tulieni tu na ikiwezekana mununue ili muisapoti TFF katika kupata mapato. 😀😀
Hahaha yani TFF
Wanataka tukaipambe nchi ya mafarao na njano.

Ule Uzi wa zamani wa Green(kijani) tunge wakabizi tenda puma, Nike ama adidas watu tulee kitu cha mfano kama ule Uzi wa Niger uliotumika word cup
 
Ha ha ha ha ha jezi Kali unampa kichuya na Gadiel
 
Bashite katia mkosi tu apo hana analoweza zaidi ya kulia lia na kulilia magari ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…