Jezi za Taifa Stars zimeangalia maslahi ya Yanga

Napendekeza jezi ya taifa ingewekwa nembo ya picha ya rais wa Nchi kama ishara ya kutambua juhudi za kiongozi wa awamu ya tano
Umeshindwa kutambua juhudi za mama mzazi aliyekubeba tumboni kwa miezi tisa, akakuzaa na kukulea mpaka kufikia hapo leo hii unamkosea heshima kiasi hiki??

Kwa akili kama hizi za kwako basi tuna mile nyingi za kwenda
 
Nimeona jezi mpya za timu ya Taifa zimetambulishwa Leo.
Haiwezekani jezi zote hazina rangi nyekundu,lazima wote tuletwe pa1 kupitia rangi za timu ya taifa.
Kubali kataa Tz kama sio simba/yanga.View attachment 1125390View attachment 1125392
Bashite anategesha misifa tu hapo.
hapo timu ikishinda atasema ni vile ni serekali ya CCM ya awamu ya 5 imewezesha!

kimbuka yeye ni Simba lialia (red) lakini wakati huohuo ni CCM kindakindaki (yellow & green).
so, hapo anategeshea tu tumbo lake kuhakikisha linapokea tokea ile kipande ya yellow & green!
 
Kulikua kuna umuhimu wa kuleta jezi mpya?, mbona zile nyeupe zenye twiga na zile za blue ni nzuri kuliko hizi!

Katika miaka yangu yote ya kutazama mpira nimeona jezi za brazil, chile, England,spain etc ni zile zile miaka yote
 
Aliyepaswa kukusikiliza hana masikio..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…