Hii ya janaNaomba review ya Jezi nzito leta hata makala nitavumilia kusoma
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Dah, hivi kweli jamaa huyu yuko wapi siku hizi?Wamshatafsiri huku.. Imagine kama mchezaji ana vinasaba na Hamza...View attachment 2309747
Nlikuuliza kama timu yenye jezi nzito inaongoza ligi, shirikisho ipo robo hao wenye jezi nyepesi ni kina nani? na wanamafanikio gani?
Huyu ni mganga njaaHapa ulichemkma huu uzi ni wa matukio, timu yenye jezi nzito inapoteza mechi moja kwa mda interval ndefu kiasi hicho? au uzito upi unazungumzia
We jamaa umekuja mda gani afu mbona kimya kimya kama ngwair?Huyu ni mganga njaa
Robo ya nini?Nlikuuliza kama timu yenye jezi nzito inaongoza ligi, shirikisho ipo robo hao wenye jezi nyepesi ni kina nani? na wanamafanikio gani?